Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa Hadhara Wananchi wa Uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi Korogwe Mkoani Tanga leo March 15,2021, Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi Mkoani humo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
ADEM YAKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUIMARISHA UONGOZI WA SHULE ZA SEKONDARI
-
Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) leo imepokea ujumbe wa wadau
wa maendeleo kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo Mastercard Foundation,
Education...
8 hours ago
0 Comments