Maendeleo ya ujenzi
wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road,
taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35,
mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari katika barabara ya
Ali Hassan Mwinyi pamoja na maingilio ya barabara ya Kawawa na Shekilango mkoani
Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
STAMICO YAGUSA MIOYO YA WATOTO YATIMA, YATOA MSAADA KUELEKEA SIKUKUU YA IDD
-
Katika kuendeleza dhamira ya uwajibikaji kwa jamii, Shirika la Madini la
Taifa (STAMICO) limetembelea Kituo cha Watoto Yatima cha Umra Orphanage
jijini Dar...
7 hours ago


0 Comments