WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais,
Dk.Saada Mkuya Salum, akimsikiliza kwa makini Mratib wa Tume ya Kitaifa ya
kuratibu na udhibiti wa dawa za kulevya Pemba Omar Juma Mbarouk, mara baada ya
kuwasili katika ofisi hizo chake chake katika ziara yake ya kwanza Kisiwani
Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk.Saada Mkuya Salum akiangalia takwimu za kesi za
dawa za kulevya kwa Wilaya za Pemba mwaka 2018/2020, kutoka kwa afisa udhibiti
na uchunguzi wa dawa za kulevya, kutoka tume ya Kitaifa ya kuratib na udhibiti
wa dawa za kulevya Pemba Ahmed Khamis Kombo, wakati alipotembelea kitengo hicho
katika ziara
AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais,
Ahmed Aboubakar Mohamed akitoa maelezo kwa waziri wa Nchi Ofisi hiyo Saada Mkuya
Salum, wakati alipotembelea ofisi ya Tume ya kitaifa ya kuratib na udhibiti wa
dawa za kulevya Pemba, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kisiwani hamo baada ya
kuteuliwa kwake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais,
Dk.Saada Mkuya Salum akivishwa koja la maua na mmoja wa wafanyakazi wa ofisi
yake Bikombo Hamad Rajab, mara baada ya kuwasili katika ofisi hiyo Gombani kwa
mara ya kwanza Kisiwani Pemba, katika ziara yake ya siku moja.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

0 Comments