Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Selemani Jafo kushoto na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Hamad Hassan Chande kulia, kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais katika makazi yake Jijini Dodoma leo April 2021. katika mazungumzo yao Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Mpango amesisitiza juu ya utekelezaji wa haraka masuala ya Changamoto zilizobaki za Muungano na Mazingira ikiwemo suala la Mabadiliko ya Tabia Nchi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
TFS, Land Africa Safaris kushirikiana kukuza utalii kupitia mbio za Cape to
Cairo Arusha
-
Na Mwandishi Wetu, Arusha
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeingia katika mpango wa
ushirikiano na kampuni ya Land Africa Safaris ili kukuza u...
1 hour ago
0 Comments