Waziri Wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe Simai Mohammed Said akijibu masuali yaliyoulizwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika Baraza la Kumi Mkutano wa Tatu Kikao cha 17 huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani
ADEM YAKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUIMARISHA UONGOZI WA SHULE ZA SEKONDARI
-
Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) leo imepokea ujumbe wa wadau
wa maendeleo kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo Mastercard Foundation,
Education...
2 hours ago
0 Comments