Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021.
BALOZI CP KAGANDA AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA AFRIKA NA ASIA
KUIMARISHA USHIRIKIANO
-
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda,
amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika na Asia
katika ...
17 minutes ago


0 Comments