“Serikali kupitia Wizara ya Michezo ninayoiongoza tunapambana na rushwa kwenye michezo kwa nguvu zote na tunashirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhakikisha tunaweka mazingira wezeshi ya michezo nchini kukua bila kuwepo kwa mazingira ya rushwa, niwahakikishie Serikali haitofumbia macho Timu inayotumia rushwa kujipatia ushindi”—Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa leo Bungeni
SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH –
MISANGA
-
Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia
mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa
pamoja ka...
1 hour ago

0 Comments