Mchezaji wa zamani wa Timu za Soka Shangani na Small Simba na Mjumbe wa Kamati ya Nidhamu ya Ndg.Abdulkadir Tashi amejitokeza kuchukua Fomu ya kugombea nafasi ya Uongozi Chama Mpira wa Miguu Zanzibar ZFF. kuwania nafasi ya Urais, katika Uchaguzi Mkuu. akiwa na fomu yake baada ya leo katika Ofisi za ZFF Amaan Jijini Zanzibar.
Meridian Panda Deluxe Na Mizunguko Iliyobeba Thamani
-
MERIDIAN Panda Deluxe inaleta sura mpya ya burudani ya sloti kwa mtazamo
tofauti kabisa. Badala ya kelele nyingi na michoro tata, mchezo huu
unachagua ur...
1 hour ago

0 Comments