Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Nassor Ahmed Mazrui (kulia) akipokea boksi la vifaa vya usajili kwa ajili ya chanjo ya kipindupindu inayotarajiwa kutolewa kuanzia Julai 3 hadi 7 katika shehia 56 ambazo huathirika na maradhi ya Kipindupindu mara kwa mara, huko Ofisini kwake Mnazimmoja .
Baadhi ya Vifaa walivyokabidhiwa Wizara ya Afya na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Andemichael Ghirmy kwa ajili ya kusaidia utoaji wa huduma ya Chanjo ya Kipindupindu inayotarajiwa kutolewa kuanzia Julai 3 hadi Julai 7 katika shehia 56 ambazo huathirika na maradhi ya Kipindupindu mara kwa mara Nchini
Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Andemichael Ghirmy (katikati) akitoa ufafanuzi kuhusiana na vifaa mbalimbali alivyovikabidhi kwa Wizara ya Afya ikiwa ni msaada kwa ajili ya Chanjo ya kipindupindu, hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja
DKT. MUYUNGI ATETA NA UJUMBE KUTOKA UBALOZI WA UINGEREZA ULIOPO TANZANIA
-
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (kulia)
akizungumza jambo wakati wa kikao chake na wawakilishi wa Ubalozi wa
Uingereza nchini Ta...
8 hours ago
0 Comments