Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Julai 02,2021 kwa ajili ya kushiriki kuaga Mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa TANROD Patrick Mfugale.
WANANCHI WA MOHORO WAMSHUKURU RAIS SAMIA
-
-Mhe. Mchengerwa afuturisha, Mohoro, Chumbi,Mbwala na Shela
-Maelfu ya wananchi washiriki futari, wamsifu Mchengerwa
Na Yohana Kidaga- Mohoro
Wananchi w...
2 hours ago
0 Comments