Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam, leo Julai 13,2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makala alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam, leo Julai 13,2021. (Picha na Ikulu)
OFISI YA MAKAMU WA RAIS NA JIJI LA DAR ES SALAAM ZAKUBALIANA KUANDAA
MAKUBALIANO KUANZIA KITUO CHA KUMBUKUMBU ZA MUUNGANO
-
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira), Bi. Cesilia Nkwamu akiwasilisha maelezo kuhusu andiko la ukumbi
wa K...
1 hour ago


0 Comments