6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Akikagua Shamba la Korosho Mkoani Kativi Akiwa Katika Ziara yake.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akikagua shamba la korosho la Bw. Jumanne Kilegele  lililopo Kagungu wilayani Tanganyika, Agosti 26, 2021. akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Katavi.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akikagua shamba la korosho la Bw. Jumanne Kilegele  lililopo Kagungu wilayani Tanganyika, Agosti 26, 2021. Yupokatika ziara ya kikazi mkoani Katavi.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments