-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 20 wa Taasisi za Kifedha Nchini wenye lengo la kupitia na kutatua changamoto mbalimbali katika sekta hiyo. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma.
ADEM YAKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUIMARISHA UONGOZI WA SHULE ZA SEKONDARI
-
Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) leo imepokea ujumbe wa wadau
wa maendeleo kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo Mastercard Foundation,
Education...
4 hours ago
0 Comments