Vikosi mbalimbali vya
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ vikipita Kikakamavu mbele ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan
katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika
katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Desemba, 2021.
Meridianbet Wanakupa Burudani Mpya Kutoka iMoon
-
MICHEZO ya kasino mtandaoni inabadilika kwa kasi, na wachezaji wanataka
zaidi ya burudani ya kawaida. Wanataka msisimko wa papo kwa papo, wepesi wa
uchez...
3 hours ago
0 Comments