Mwenyekiti wa Kamati ya Biashara Kilimo na
Utalii ya Baraza la Wawakilishi Mhe Yussuf Hassan Iddi akikagua
trekta la kilimo wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara katika Wakala wa Serikali
wa Huduma za Matrekta na Zana za Kilimo Kisiwani Pemba.
ADEM YAKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUIMARISHA UONGOZI WA SHULE ZA SEKONDARI
-
Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) leo imepokea ujumbe wa wadau
wa maendeleo kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo Mastercard Foundation,
Education...
4 hours ago
0 Comments