Mawaziri pamoja na Manaibu wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakati akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 19 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
DKT. MWIGULU AKAGUA HALI YA UZALISHAJI NA USAMBAZAJI WA MAJI RUVU CHINI
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 29, 2025 amekagua hali za
uzalishaji na usambazaji wa maji eneo la Ruvu Chini, mkoani Pwani.
Akizungumza ba...
1 hour ago
0 Comments