Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM wakiendelea na kikao maallum kikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Januari, 2022 katika ukumbi wa Halmashauri Kuu CCM White House Jijini Dodoma.
BIASHARA YA KABONI YAFUNGUA NEEMA MPYA LINDI
-
Na Mwandishi Wetu, Lindi
Fursa ya biashara ya kaboni imeelezwa kuwa mkombozi mpya wa uchumi wa
misitu nchini, huku Serikali ikihimiza wananchi na wadau k...
41 minutes ago
0 Comments