Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. George Simbachawene mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki katika Kilele cha Maadhimisho hayo leo tarehe 02 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali Mkoani Dodoma leo tarehe 02 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali, Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu mara baada ya kuhutubia katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali Mkoani Dodoma leo tarehe 02 Februari, 2022.
COSTECH YATAKIWA KUBUNI MFUMO RAHISI KUFIKISHA MATOKEO YA TAFITI
-
Serikali imeiagiza Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kubuni
na kuimarisha njia rahisi za kufikisha matokeo ya tafiti kwa Wizara husika
na ta...
8 minutes ago
1 Comments
Tunashukuru watumishi kupata huduma hii kwa karibu
ReplyDelete