Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, David Cleopa Msuya, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Upanga, jijini Dar es salaam Februari 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, David Cleopa Msuya, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Upanga, jijini Dar es salaam Februari 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, wakati alipomtembelea nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Februari 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
DC Ilala Aagiza Polisi Kuwakamata Wauaji wa Salehe Iddi Salehe
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameliagiza Jeshi la Polisi Wilaya
ya Kipolisi Ilala, kupitia Kamanda wake ACP Yustino Mgonja, kuhakikisha
lina...
3 hours ago
0 Comments