Watoto wakiwa katika pembea katika viwanja vya Sikukuu Mnazi Mmoja leo kama walivokutwa na mpiga piucha wetu wakisherehekea Sikukuu ya Eid Al Haj kwa michezo mbalimbali ya pembea katika kiwanja hicho leo 12-7-2022.
WAZIRI MCHENGERWA AZIKARIBISHA JUMUIYA ZA KIMATAIFA KUSHIRIKIANA NA
TANZANIA KUBORESHA TIBA ASILI
-
Na John Mapepele, New Delhi.
Waziri wa Afya Mheshimiwa Mohamed Omary Mchengerwa amezikaribisha jumuiya
za kimataifa na wadau mbalimbali wa Sekta ya Afya du...
51 minutes ago
0 Comments