Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Senegal Mhe. Macky Sall jana tarehe 06 Julai, 2022 kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na Dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) tarehe 07 Julai, 2022 Dakar Senegal.
Ripoti ya Kerry ya Taste Charts 2026 Yaonesha Ladha za Tangawizi, Ukwaju na
Mango Chilli Kinara Mabadiliko ya Ladha Barani Afrika
-
NAIROBI, KENYA. Kampuni ya Kerry Group, kinara wa kimataifa katika masuala
ya ladha na lishe, imezindua ripoti ya Kenya 2026 Taste Charts, ikionyesha
mab...
6 hours ago
.jpg)
.jpg)
0 Comments