RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Sheikh.Gurudev Sri Sri Ravishankar (kulia kwa Rais) kutoka Bangalore Nchini India akiwa na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2022.(Picha na Ikulu)
MEYA MANISPAA YA KIBAHA AFUNGA VIWANDA VIWILI MISUGUSUGU KWA UCHAFUZI WA
MAZINGIRA
-
Na Khadija Kalili, Kibaha
MSTAHIKI MEYA wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Mawazo Nicas, ametoa amri ya
kufungwa kwa viwanda viwili kwa kosa la kutiririsha maji ...
35 minutes ago
0 Comments