Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali wakati akizindua Mradi wa Maji
safi wa Mbalizi, Shongo-Igale katika eneo la Mbalizi Mkoani Mbeya leo tarehe 05
Agosti, 2022. Wengine katika picha ni Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson pamoja na Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungulia maji kuashiria
uzinduzi wa mradi wa maji safi wa Shongo-Mbalizi
katika eneo la Mbalizi Mkoani Mbeya leo tarehe 05 Agosti, 2022..jpg)
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa
Mbalizi mkoani Mbeya mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi wa Shongo-Mbalizi
tarehe 05 Agosti, 2022..jpg)
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi pamoja na
Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya Kitengo cha Wazazi na
Watoto Wachanga Meta mara baada ya kuzindua ujenzi wa jengo la afya ya huduma
ya mama na mtoto Meta Mkoani Mbeya tarehe 05 Agosti, 2022. 
Jengo la afya ya
Huduma ya Mama na Mtoto lililopo Meta Mkoani Mbeya ambalo limewekewa jiwe la
Msingi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
tarehe 05 Agosti, 2022.
.jpg)
.jpg)
0 Comments