Beki wa Timu ya Taifa ya Jangombe akijaribu kumzuiya mshambuliaji wa Timu ya Polisi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Premier League mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana mchezo uliofanyika 20-9-2022.
SHULE ZOTE ZA SERIKALI KUFIKIWA NA VITABU KABLA HAZIJAFUNGULIWA
-
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Aneth Komba
amesema, TET imejipanga kuhakikisha shule zote za Serikali zinafikiwa na
vitabu kabla h...
1 hour ago
0 Comments