Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2022.
WAKALA WA VIPIMO WABAINI UDANGANYIFU WA MIZANI MABUCHANI TEMEKE NA KIGAMBONI
-
Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Temeke umebaini vitendo vya udanganyifu
katika baadhi ya mabucha yanayouza nyama, baada ya kufanya operesheni
maalum ya...
3 hours ago




0 Comments