Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ndg Raya Issa Msellem Akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Nchi mbali mbali za Afrika unaotarajiwa kufanyika Zanzibar kuanzia tarehe 1 - 3 Novemba katika Hoteli ya Madinat Al Bahri, Zanzibar ambapo Baraza la Wawakilishi ndio Mwenyeji wa Mkutano huo na Mgeni Rasmi Anatarajiwa kuwa Mhe Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Hussein Ali Mwinyi.
WASTAAFU WA TRA WAHIMIZA ULIPAJI KODI, WAKIIMARISHA UMOJA WAO
-
Harry Kitilya Kamshna Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),
akizungumza na waandishi wa habari katika sherehe ya wastaafu wa TRA
iliyofanyika jiji...
24 minutes ago
0 Comments