Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Kondoa alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kwa ajili ya kuanza ziara ya kutembelea na kukaguwa miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi tarehe 22 Novemba, 2022.
Mradi huo ulianza Aprili 2025 na unatarajiwa kukamilika Julai 2026.
-
Kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari
ya Karema kunatarajiwa kufungua fursa mpya za kiuchumi kwa wananchi wa
mikoa ya R...
9 minutes ago
.jpg)
0 Comments