Mkutano wa kumi wa baraza la kumi la wawakilishi umeanza leo
tarehe 15/02/2023, pamoja na maswali na majibu pia kumewasilishwa hotuba
ya ripoti ya kamati ya kusimamia ofisi za viongozi wakuu wa kitaifa ya mwaka
2022/2023 pamoja na kuchangiwa na wajumbe wa baraza hilo.
OSHA INA NAFASI MUHIMU YA KUWEZESHA SHUGHULI CHA UZALISHAJI-KATIBU MKUU KAZI
-
Wajumbe wa Baraza la OSHA wakifuatilia majadiliano mbalimbali
yaliowasilishwa katika kikaocha Tano cha Baraza la Tano la wafanyakazi wa
OSHA kilichofanyik...
4 hours ago
0 Comments