Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya
Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2021/2022 kutoka kwa
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Charles Kichere, Ikulu
Jijini Dar es salaam tarehe 29 Machi, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa mwaka 2021/2022 kutoka kwa
Mkurugenzi wa Taasisi hiyo CP. Salum Hamduni Ikulu Jijini Dar es
salaam
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi
mbalimbali mara baada ya kupokea Taarifa ya Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) na Taarifa ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU)
kwa mwaka 2021/2022, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Viongozi
mbalimbali waliohudhuria hafla fupi ya kupokea Taarifa ya Ofisi ya Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taarifa ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa
(TAKUKURU) kwa mwaka 2021/2022, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Machi,
2023.
Picha na Ikulu.

.jpg)

0 Comments