Wananchi wa Jiji la Zanzibar wakiwa katika harakati za kujipatia mahitaji ya Samaki kwa ajili ya kitoweo katika mlo na matumizi mengine, kama inavyoonekana pichani wakiwa katika Soko kuu la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
JAHAZI LAZAMA PANGANI: WAWILI WAFARIKI DUNIA, WATATU HAWAJULIKANI WALIPO
-
Na Oscar Assenga, Pangani
Jahazi la MV Tarawanda lililokuwa likitoka Wilaya ya Pangani mkoani Tanga
likielekea Mkokotoni, Zanzibar, likiwa limebeba tani ...
7 minutes ago



0 Comments