Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimpongeza Askofu Christian Ndossa na msaidizi wake Mchungaji Stanley Tabulu mara baada ya kuwekwa Wakfu na Kuingizwa kazini katika Ibada iliofanyika Kanisa Kuu la KKKT Dayosisi ya Dodoma leo tarehe 07 Mei 2023.
DC ILALA AMALIZA MGOMO WA WAFANYAKAZI ZAIDI YA 1,500 WA KIWANDA CHA NAMERA,
GONGOLAMBOTO
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amefanikiwa kumaliza mgomo wa
wafanyakazi zaidi ya 1,500 wa Kiwanda cha NAMERA kilichopo Gongolamboto,
jijini...
6 hours ago

0 Comments