Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip
Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchoir Ndadaye uliopo
Bujumbura nchini Burundi na kupokelewa na Makamu wa Rais wa Burundi Mheshimiwa
Prosper Banzombaza leo tarehe 06 Mei 2023. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano
wa 11 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Mpango wa Amani,
Usalama na Ushirikiano kwaajili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Ukanda
wa Maziwa Makuu unaofanyika Bujumbura nchini Burundi.
ADEM YAKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUIMARISHA UONGOZI WA SHULE ZA SEKONDARI
-
Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) leo imepokea ujumbe wa wadau
wa maendeleo kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo Mastercard Foundation,
Education...
43 minutes ago



0 Comments