Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika eneo la
Wasso – Loliondo Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kwaajili ya ziara ya kikazi
katika Wilaya ya Ngorongoro leo tarehe 17 Mei 2023.
WAZIRI MKENDA AWATAKA WATHIBITI UBORA KURIPOTI CHANGAMOTO ZA SHULE
-
NA EMMANUEL MBATILO, BAGAMOYO
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Adolf Mkenda, amewataka Wathibiti
Ubora wa Shule kuhakikisha wanatoa taarifa kwa wak...
8 hours ago



0 Comments