Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (wa tatu kulia) Mei 14, 2023 mjini Mafinga katika Wilaya ya Mufindi akiwa katika ziara ya kikazi, amekutana na Mashabiki wa Klabu ya Yanga wanaoelekea Nchini Afrika Kusini kuishangilia timu hiyo katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya timu ya Marumo Gallants Mei 17, 2023.
Rais Dkt. Samia Afuturisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali,
Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan akijumuika na Wananchi wa Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba kwenye
Futari aliy...
5 hours ago

0 Comments