Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akipokea Medali kama ishara ya shukrani kutoka kwa Rais wa
Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said wakati wa hafla ya kuipongeza timu ya Yanga
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 June, 2023..jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji
na Makocha wa timu ya Yanga wakati wa hafla ya kuwapongeza kwa kufanikiwa
kufika na kucheza mchezo wa Fainali ya Mashindano ya Shirikisho Afrika (CAF)
nchini Algeria. Hafla hiyo ya kuwapongeza Yanga imefanyika Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 05 June, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi, wachezaji wa timu
ya Yanga pamoja na wadau mbalimbali wa michezo wakati wa hafla aliyowaandalia
kuwapongeza Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Wachezaji na Makocha wa Timu ya Yanga wakiwa kwenye hafla ya kupongezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Viongozi, wachezaji wa
zamani, waandishi wa Habari, watu maarufu, wasanii pamoja na wadau mbalimbali
wa michezo wakiwa kwenye hafla ya kuipongeza timu ya Yanga iliyofanyika Ikulu
Jijini Dar es Salaam
.jpg)







0 Comments