Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na
viongozi mbalimbali wakati akipokea Maandamano ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Paje kwa ajili ya kilele cha
Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Zanzibar tarehe 31 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akipokea Maandamano ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Paje kwa ajili ya kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Maandamano
ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) yakipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa
Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Paje Zanzibar
Viongozi mbalimbali pamoja
na Wananchi wakiwa kwenye viwanja vya Paje kwa ajili ya kuhudhuria Kilele cha
Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Zanzibar








0 Comments