Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu zawadi yake ya picha
aliyopewa na Siti Mketo wakati
akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Somanga katika Jimbo la Kilwa
Kaskazini wakati akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 20
Septemba, 2023.
Wananchi wa Somanga wakiwa kwenye
shamrashamra za kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan wakati aliposimama eneo hilo kuwasalimia Wananchi wakati
akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini. 

Watoto wa Shule ya Msingi
Somanga wakiwa na shauku ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan aliposimama eneo hilo kuwasalimia Wananchi wakati
akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini.
(Nimemuona Rais)…Mwanafunzi
wa Shule ya Msingi Somanga akiwa amebebwa
juu ili kutimiza ndoto yake ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan aliposimama
eneo hilo kuwasalimia Wananchi wakati akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya
Kusini

0 Comments