Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 1 Oktoba, 2023, ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichofanyika jijini Dar Es Salaam.(Picha na CCM MAKAO MAKUU)
WANAWAKE SF GROUP WATUMIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MWANAMKE KUTOA MISAADA
KIBAHA
-
VICTOR MASANGU,KIBAHA
Wafanyakazi wanawake wa kampuni ya SF group ya Jijini Dar es Salaam katika
kuadhimisha maadhimisho ya siku ya mwananke duniani wameam...
2 hours ago


0 Comments