Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mke wa aliyekuwa Mfalme wa Qatar Sheikh Hamad Bin Khalifa Al- Thani, Sheikha Moza Bint Nasser Al-Missned wakati alipomtembelea Jijini Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023. Mazungumzo yao yalilenga zaidi masuala ya Elimu na jitihada za pamoja za kupunguza idadi ya wanafunzi wanaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali. Sheikha Moza pia ni Mwenyekiti wa Wakfu wa Qatar.
Wanafunzi 40 Mabalozi wa Utalii Watembelea Ngorongoro na Serengeti
-
Na Pamela Mollel,Babati
Wanafunzi 40 kutoka shule nne zilizopo ndani ya Hifadhi ya Jamii ya
Wanyamapori ya Burunge (Burunge WMA) wilayani Babati, mkoa wa M...
7 hours ago

0 Comments