Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe.Cassian Gallos Nyimbo akikabidhiwa vitendea Kazi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe. Rajab Yussuf Mkasaba, makabidhi hayo ya ofisi yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja leo 20-11-2023.
MIKOA NANE KUNYESHA MVUA KUBWA KESHO
-
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Nchini imetoa tahadhari ya uwepo wa mvua kubwa
katika mikoa ya Dodoma, Morogoro, Rukwa, Iringa, Njombe, Songwe, Mbeya na
Ruvuma.
...
1 day ago


0 Comments