Meneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC ) Kanda ya Zanzibar Ndg.Khamis Masoud akimzawadi zawadi wa shilingi laki tano Mchezaji Bora wa Mechi Kati ya JKU na Singida Elvis Rupia, kwa kuibuka mshindi wa mchezo huo kwa kufunga mabao mawili katika mchezo huo uliofanyika jana usiki katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.Timu ya Singida imeshinda kwa mabao 4-1.
MEELA AWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUKEMEA SWALA LA WIZI.
-
MOSHI.
Wimbi la wizi, hasa wa mita za maji, limeendelea kuwa changamoto kubwa
katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, hali
ina...
36 minutes ago

0 Comments