Mshambuliaji wa Timu ya Singida Elvis Rupia akimiliki mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, katika mchezo huo Timu ya Singida imeshinda kwa bao 4-1.
DC RUFIJI AAGIZA USAJILI MPYA KWA WAFUGAJI FEBRUARI 2026
-
Mwamvua Mwinyi, Rufiji Januari 30, 2026
MKUU wa Wilaya ya Rufiji, Luteni Kanali Fredrick Komba, ameagiza wafugaji
wote wilayani humo kuanza usajili upya k...
6 minutes ago







0 Comments