6/recent/ticker-posts

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango Amjulia Hali Waziri Mkuu Mstaafu Msuya

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wamemtembelea na kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David  Msuya katika Makazi yake Upanga Jijini Dar es salaam tarehe 31 Januari 2024.


 

Post a Comment

0 Comments