Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amemtembelea na kumjulia hali kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake, Mtaa wa Forest, Manispaa ya Morogoro Mkoa wa Morogoro Aprili 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu)
DKT AKWILAPO AKABIDHI VIFAA TIBA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA MASASI
-
Na Munir Shemweta, Masasi
Mbunge wa Jimbo la Masasi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amekabidhi vifaa tiba k...
3 minutes ago
0 Comments