RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiuliza
bei na kununua viungo vya mchuzi kwa mfanyabiashara wa mbogamboga Ali Hassan
Ali, baada ya kulifungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja, ufunguzi huo uliofanyika leo 26-10-2024, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki
ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya
Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya
Nane Zanzibar
Meridianbet Tanzania Yaandika Historia kwa Miradi Zaidi Ya 500 ya Kijamii
-
KATIKA hafla kubwa ya shukrani ya AmCham Tanzania, Meridianbet Tanzania
alisimama kama mshiriki mkubwa na kampuni hii ilianza wasilisho lake kwa
namba m...
7 hours ago















0 Comments