Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 17
Januari, 2025.
WIZARA YA ARDHI KUANZISHA KLINIKI MAALUM YA WANAWAKE
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani mwaka huu, Wizara ya Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi itaendesha Kliniki Maalum ya...
0 Comments