Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo tarehe 16 Septemba 2025 alipokutana na makundi ya waendesha bodaboda, wakulima wa mazao ya viungo na wajasiriamali wa Shehia ya Mndo, Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi.
Watu 600 kushiriki semina ya AAT Moro
-
Na MWANDISHI WETU
ZAIDI ya washiriki 600 kutoka ndani na nje ya nchi wanataraji kushiriki
semina maalumu ya uendeleaji na upangaji wa miji inayo kua.
Semi...
7 hours ago






0 Comments