6/recent/ticker-posts

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Kibaha mkoani Pwani

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa mkutano kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa Kibaha katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Pwani tarehe 28 Septemba, 2025. 

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kibaha katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Pwani tarehe 28 Septemba, 2025.






Post a Comment

0 Comments