6/recent/ticker-posts

Uzinduzi wa Kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kusini Unguja Kichama Viwanja vya Mtende Kwa Wabunge,Uwakilishi na Udiwani

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na Wanu Hafidh Ameir, alipowasili katika viwanja vya mpira Mtende kwa ajili ya kuzindua Kampeni za Majimbo ya Paje na Makunduchi ya Wilaya ya Kusini Kichana.




Post a Comment

0 Comments