Mchezaji wa Timu ya Kwerekwe Yankees akiwa na mpira akimpita mchezaji wa Timu ya Miembeni wakati wa mchezo wao wa Ligi Kanda ya Unguja mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.Timu ya Miembeni imeshinda mchezo huo kwa Vikapu 92-47.
Jeshi : Dkt. Samia: Tumeweka heshima, ujenzi Makao Makuu Ngome
-
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema makao makuu ya ulinzi ni
alama ya ukomavu wa kielelezo cha uwezo wa Taifa katika kupanga na
kutekeleza...
52 minutes ago













0 Comments